TCB YAANDIKA HISTORIA KUPITIA STAWI BOND


:::::::::

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imefanikiwa kuorodhesha rasmi Stawi Bond katika Soko la Hisa la Dar es Salaam baada ya kuvuka lengo la mauzo na kukusanya zaidi ya Shilingi bilioni 140.24 dhidi ya lengo la Shilingi bilioni 50.

Mafanikio haya yanafungua fursa mpya za mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs), kuongeza ujumuishi wa kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania. 








#TCB #TCBTanzania #StawiBond #Uwekezaji #MasokoYaMitaji #SMEsTanzania #Ujasiriamali #UchumiWaTanzania #DSETanzania #FinancialGrowth

0/Post a Comment/Comments