WAZIRI MKUU AZUNGUMZA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU – KAZI, AJIRA NA MAHUSIANO, DEUS SANGU

 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –  Kazi, Ajira na Mahusiano,  Deus Sangu , ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –  Kazi, Ajira na Mahusiano,   Deus Sangu , ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0/Post a Comment/Comments