Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu wa Jimbo hilo, Yude Ruwai'chi.
Amesema Kardinali Pengo amefarki dunia saa 4:00 usiku wa jana Alhamisi, Februari 19, 2026.
Askofu Mkuu Ruwai'chi amesema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye. Endelea kufuatilia Mwananchi.


Post a Comment