WATUMISHI COSTECH WAPATIWA MAFUNZO KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTONIK WA 'GERMS'

Mkufunzi mbobezi, Ndg. Mussa Mkande ambaye pia ni Mkaguzi Mwandamizi na Mtaalam wa Usimamizi wa Vihatarishi toka Wizara ya Fedha (MOF) akiwasilisha mada ya kutumia mfumo wa kieletroniki wa GERMIS mbele ya Maafisa Usimamizi wa Vihatarishi toka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) tar 3 Februari 2026 , Ofisi ya COSTECH, Kata ya Kijitonyama (Sayansi) - Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi (DCS), Ndg. Imanuel I Mgonja akifuatilia mafunzo ya usimamizi wa Vihatarishi kwa njia ya kieletroniki GERMIS yanayoratibiwa na Wizara ya Fedha (MOF), tar 3 Februari 2026 , Ofisi ya COSTECH,  Kata ya Kijitonyama (Sayansi) - Jijini Dar es salaam.

Sehemu ya watumishi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakifuatili kwa makini mafunzo ya usimamizi wa Vihatarishi kwa njia ya kieletroniki GERMIS yanayoratibiwa na Wizara ya Fedha (MOF), tar 3 Februari 2026 , Ofisi ya COSTECH, Kata ya Kijitonyama (Sayansi) - Jijini Dar es salaam.


0/Post a Comment/Comments