RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI BAADA YA IFTARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa mara baada ya Iftar aliyowaandalia, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026







 

0/Post a Comment/Comments