Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. *Dkt. Rhimo Nyansaho, (Mb)* amewasilisha hati za randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026 /2027.
Uwasilishaji rasmi wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 utafanyika kesho Jumanne Mei 19, 2026 bungeni jijini Dodoma.


Post a Comment