KENYA YASHUSHA BEI YA MAFUTA BAADA YA MAANDAMANO

*****

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imeshusha bei ya dizeli kwa KSh 10.06 [202.13] kwa lita, huku bei ya mafuta ya taa ikiongezwa kwa KSh 38.60 [TZS 775]. Mabadiliko hayo yataanza kuanzia Mei 19 hadi Juni 14, 2026.

Kwa bei mpya, petroli itauzwa kwa KSh214.25 [TZS 4,304] kwa lita, dizeli KSh 232.86 [TZS 4,683] na mafuta ya taa KSh 191.38 [3,849] kwa lita.

 

0/Post a Comment/Comments