Mwenyekiti wa UVCCM, Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) ataanza ziara ndani ya mkoa wa Mtwara kuanzia kesho tarehe 18 Mei 2026.
Ziara hii yenye manufaa makubwa kwa Vijana na wakazi wa Mtwara, chakufanya ni kuhakikisha unashiriki katika eneo lako na kukaa karibu na kurasa za UVCCM na Vyombo vya Habari ili kupata taarifa zaidi.
Maeneo ambayo anatarajia kuyafikia ni pamoja na Mtwara Mjini,Tandahimba,Newala,Masasi pamoja na Nanyumbu kukutana na kuzungumza na Vijana.

Post a Comment