DKT SAMIA NA DKT NETUMBO WASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA MINNE YA MAKUBALIANO







.....

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo Nandi-Ndaitwah wameshuhudia utiaji saini wa Hati nne za Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta za biashara, maendeleo ya biashara ndogo na za kati; Ulinzi, pamoja na Ushirikiano wa miji kati ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar na Manispaa ya Swakopmund kabla ya kuzungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026.

 

0/Post a Comment/Comments