Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amefanya mazungumzo na Balozi wa Nchi ya Palestina nchini Tanzania, Mh. Salam Abu Sharar, leo Jumanne tarehe 2 Juni 2026 ofisini kwake Bungeni, jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.



Post a Comment