Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa Juni mosi, 2026 akiwasili
katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufungua maonesho ya mazingira ambayo
ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni
Juni 05, 2026. Anayempokea ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa
Rais Balozi Baraka Luvanda.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akikagua mabanda ya
maonesho katika Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambayo ni sehemu ya
Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizindua maonesho ya mazingira katika
Viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya
Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake ni Juni 05, 2026


Post a Comment