ZAIDI YA WAFANYABIASHA 463 WANUFAIKA NA UUZAJI WA MAZAO NJE


.....

Na Ester Maile Dodoma 

Mamlaka ya afye ya mimea na viwatilifu Tanzania (TPHPA) imewataka wafanyabiadhara na wakilima kuweza kutumia frusa ya ushafirishaji wa mazao katika masoko ya nje ya nchi.

Hayo yamebainishwa leo 19 June 2026 jijini Dodoma katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma na Godlick Tito kutoka mamlaka ya afya ya mimea na viwatilifu.

Tito amesema TPHPA imefungua frusa kwaajili ya wakulima na wafanyabiashara wa mazao kimataifa ambapo kunaupatikanaji wa masoko mapya na uhakikishaji wa masoko yaliyokwepo kuendelea kuimarika.

Aliongeza kuwa zaidi ya wafanyabiashara 463 wamesafirisha mazao katika soko la China na wengine 20 wamepeleka mazao ya parachichi katika soko la southi Afirika.

0/Post a Comment/Comments