******
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawajulisha wananchi na walipakodi kuwa ofisi zake katika mikoa yote nchini zitakuwa wazi kesho, Jumamosi, tarehe 29 Agosti 2026 Kuanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 11 kwa ajili ya kutoa huduma za kikodi.
Wananchi na walipakodi wote mnakaribishwa kufika katika ofisi ya TRA iliyo karibu nawe kupata huduma mbalimbali . Pamoja tunajenga Taifa Letu.


Post a Comment