RAIS DKT SAMIA ARIDHIA MAKAMU WA RAIS KUJIUZULU

........

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluh Hassan ameridhia ombi la barua ya ombi la Kujiuzulu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi kuanzia tar 4 septemba mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt Moses Kusiluka imeeleza kuwa taratbi za kikatiba za kumpata Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwingine zitachukuliwa


 

0/Post a Comment/Comments