Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amekabidhi magari matano kwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Magari hayo yanatarajiwa kuongeza ufanisi katika ukaguzi, ufuatiliaji na upimaji wa mazingira katika maeneo mbalimbali nchini.
Katika magari hayo, manne ni Prado na moja ni Hard Top.
Masauni amekabidhi magari hayo wakati wa ziara yake.









Post a Comment