RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

 

...........

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Waziri wa Mifugo, kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Beng’i Mazana Issa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha, Mhe. Ng’wasi Damas Kamani kuwa Naibu Waziri wa Mifugo kwenye hafla iliyofanyika, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2026.


0/Post a Comment/Comments